Jinsi ya kuweka dau
Maagizo
Unaweza kupata maelezo kuhusu matumaini na matukio kwenye kurasa za Michezo na Moja kwa Moja bila usjili katika hali ya kuvinjari. Unaweza kuweka dau baada ya usajili.
Kamilisha mchakato wa usajili. Ili kuingia, weka jina lako la mtumiaji (ID) na nywila kwenye sehemu husika.
Utahitaji salio chanya la akaunti ili uweke dau. Unaweza kuweka arbuni ukitumia mbinu za e-payment (Sehemu ya "Arbuni").
- Chagua Michezo au Moja kwa Moja katika menyu kuu.
- Katika safuwima ya kushoto kwenye ukurasa unaofuata chagua mchezo na tukio.
- Utaona matumaini na dau katika sehemu ya kati. Ili kuongeza dau, bofya kwenye matumaini na tukio litaonekana katika hati ya dau.
- Ikiwa kuna madau kadhaa tofauti kwenye hati ya madau, tafadhali chagua aina ya dau: Mkusanyiko, Mfumo au Mfuatano.
- Weka kiwango cha dau.
- Bonyeza "Weka dau".
- Utaona dirisha ibukizi lenye maelezo kuhusu dau lako. Pindi tu dau linapokubaliwa, kiwango cha dau kitadondolewa kwenye akaunti yako mara moja.
- Unaweza kuona madau yako katika sehemu ya "Madau ya hivi karibuni" au katika Akaunti Yangu – Historia ya madau.
- Endapo utashinda, fedha zinahamishwa kwenye akaunti yako kiotomatiki baada ya dau kukamilishwa.
One-click bet
One-click bet inakuruhusu kuweka dau la kiwango ulichochagua kwa mbofyo mmoja kwenye matumaini yaliyoteuliwa.
-
Ili kuwasha "One-click bet", tafadhali fanya yafuatayo:
- tia tiki kisanduku "One-click bet";
- weka kiwango cha dau;
- bonyeza "Tekeleza";
- utaona dirisha ibukizi "Kiwango cha dau kimewekwa".
- Pindi tu One-click bet inapowashwa, mteja anaweza kuweka madau kwa mbofyo mmoja kwenye matumaini yaliyochaguliwa. Thibitisho zaidi halihitajiki. Onyo! Kwa "One-click bet", mbofyo wowote kwenye matumaini utasababisha kuweka dau.
- Ili kuzima "One-click bet", ondoa tiki kwenye kisanduku teuzi "One-click bet".