Kuhusu sisi

BETANDYOU Kampuni ya Kuweka Dau

Zaidi ya watumiaji 400,000 wa mtandaoni huweka madau wakitumia 1.betandyou.com.

Aina za madau

BETANDYOU hutoa masoko mengi ya ziada kuhusu matukio mahususi: Usawazishaji wa Ulaya, alama sahihi, muda wa kucheza, zaidi/chini, timu ya kufunga kwanza n.k. Pia tuna uteuzi bora wa masoko kwenye michezo ya kimataifa kwenye ngazi ya kilabu na nchi.

Katika michezo ya binafsi kama vile kuendesha baiskeli, gofu, riadha, kuteleza kwenye barafu, n.k., mbali na kuweka madau, pia tuna makabiliano ya wanariadha wawili nyakati zote.

BETANDYOU inatoa madau kama hayo kama ya mchezo mmoja, mikusanyiko, mfumo na madau ya msururu.

Unaweza kuweka dau kwenye TOTO-15 na TOTO Correct Score.

Madau ya moja kwa moja

Madau ya moja kwa moja yanapatikana saa 24 kwa siku. Kwa michezo mingi, zaidi ya masoko 30 yanatolewa kwa kila tukio, ikiwemo madau kuhusu kona, kadi za njano, ikabu, n.k.

Kuweka/Kutoa pesa

Unaweza kuongeza hela kwenye akaunti yako katika maduka ya kuweka madau ya BETANDYOU. Pia tunakubali malipo ya mtandaoni kupitia WebMoney, Qiwi na nyinginezo.

Fedha za ushindi zinalipwa kupitia mbinu sawa iliyotumiwa kuweka pesa.

Usaidizi

BETANDYOU inatoa huduma ya Mshauri wa Mtandaoni kwenye tovuti yake. Vinginevyo, unaweza kuwasiliana na BETANDYOU wakati wowote kupitia barua pepe. Maelezo yetu yote ya mawasiliano yanaweza kupatikana katika sehemu ya Anwani.

Michezo

BETANDYOU Sportsbook inajumuisha zaidi ya matukio 1,000 kila siku. Unaweza kuweka madau ya michezo maarufu mbalimbali: kandanda, tenisi, mpira wa kikapu, mpira wa wavu, mpira wa magongo barafuni, gofu, masumbwi, mpira wa mikono, kandanda ya Marekani, mpira wa magongo, besiboli, tenisi ya mezani, biathlon, kandanda ya Australia na bandi. Pia tunatoa madau kuhusu kriketi, snuka, Formula 1, kuendesha baiskeli, mruko wa kuteleza, curling, mpira wa magongo sakafuni, mpira wa magongo wa ndani na polo ya majini. Ukitumia BETANDYOU, unaweza kuweka dau kwenye zaidi ya matukio 1,000 ya micheo kila siku.