Kuweka pesa mara ya kwanza
Bonasi ya amana ya kwanza 100% hadi 110 EUR
Bonasi ya arbuni ya kwanza
Jisajili na upate bonasi
hadi 110 EUR kwenye arbuni yako ya kwanza!
Jinsi ya kupata bonasi yako
- Jisajili kwenye tovuti ya BETANDYOU.
- Wekaamana ya hadi 110 EUR (au sawa na sarafu nyingine).
- Bonasi inawekwa kwenye akaunti ya mteja kiotomatiki baada ya amana kuwekwa (kiasi cha bonasihakiwezi kuzidi 110 EUR).
Sheria na Masharti
- Mteja ana haki ya kupata bonasimoja tu. Kiasi cha chini cha amana kinachotakiwa kuamilisha bonasi ni 1 EUR.
- Kabla ya kuweka amana kwenye akaunti yako, lazima wateja wakubali kupokea bonasi ya kuweka madau kwenye michezo kwenye ukurasa wa ‘Mipangilio ya Akaunti’ katika sehemu ya Akaunti Yangu, au moja kwa moja kwenye ukurasa wa ‘Amana’. Bonasi hii inawekwa ama kwenye akaunti za wateja kiotomatiki pindi tu amana ya kwanza inapokuwa imewekwa, ilimradi tu taarifa za akaunti yawe yamekamilishwa na namba ya simu kuamilishwa.
- Weka dau mara 5 ya kiasicha bonasi katika madau ya mkusanyiko. Kila dau lamkusanyiko lazima liwe na matukio3 au zaidi. Angalau matukio 3 yaliyojumuishwa kwenye mkusanyiko lazima yawe na nafasi ya 1.40 au zaidi. Tarehe za kuanzia matukio haya yote lazima zisizidi tarehe ya mwisho ya ofa hii.
- Bonasi inachukuliwa kuwa imetumika pale tu madau yote yaliyowekwa kwa kiasi husika kulipwa.
- Hakuna utoaji fedha unaoweza kufanywa kabla ya masharti yote ya ofa kutimizwa (isipokuwa masharti yaliyobainishwa katika Kielelezo*.)
- Bonasi lazima iwekewe dau yote kabla wateja hawajatoa fedha zote kwenye akaunti zao (au kabla ya kuhamishia fedha kwenye casino), vingineyo bonasi au ushindi wowote uliopatikana na fedha hizi utatwaliwa.
- Ofa hii haiwezi kutumiwa pamoja na promosheni nyingine yoyote au ofa maalum.
- BETANDYOU inaweza kurekebisha sheria ya ofa, kughairisha au kuhuisha ofa au kukataza ushiriki wakati wowote bila kutoa taarifa ya mapema.
- BETANDYOU inaweza kuwazuia au kuwakataza wateja kushiriki katika ofa hii au nyingine yoyote.
- BETANDYOU ina haki ya kuchunguza kumbukumbu za miamala na rekodi za wateja kwa sababu yoyote. Ikiwa, kupitia uchunguzi huo, itabainika kwamba mteja au wateja wanashiriki katika mikakati ambayo BETANDYOU itaona kwamba ni mibaya, BETANDYOU ina haki ya kuzuia wateja kama hao kushiriki katika promosheni au kupata bonasi.
- Bonasi moja tu inaruhusiwa kwa mteja, familia, anwani, kompyuta inayotumiwa na watu wengi na anwani ya IP moja na taarifa zozote ya akaunti kama vile anwani ya barua pepe, taarifa za akaunti ya benki, taarifa za kadi ya mkopo na akaunti ya mfumo wa malipo. Matumizi mabaya yoyote ya ofa hii ya bonasi yatasababisha akaunti kufungwa.
- Mteja lazima atoe hati za utambulisho, zinapohitajika, ili kuthibitisha utambulisho wao (KYC). Kushindwa kutoa hati za utambulisho kama ilivyotakiwa inaweza kusababisha kutwaliwa kwa bonasi/ushindi wowote. Kampuni ina haki ya kuomba kwamba mteja atoe ushahidi wa picha wa wao wakiwa wameshika kitambulisho (sura ya mteja lazima ionekane vizuri kwenye picha) au utambulisho kwa njia ya simu wakati wowote.
- Ikiwa BETANDYOU inaamini kuwa itakuwa muathirika wa udanganyifu au utakatishaji wa fedha, kampuni ina haki ya kufunga akaunti ya mteja na kuzuia fedha zilizobaki.
- Baada ya bonasi kukombolewa, akaunti yako kuu itaongezwa fedha za bonasi zilizobaki, ambazo hazitazidi kiwango cha jumla cha bonasi. Ikiwa, baada ya kukombolewa, salio la akaunti ya bonasi ni chini ya kiwango cha dau, bonasi inasemekana kupotea.
Sheria na Masharti haya ni sehemu ya Sheria na Masharti ya Jumla ya BETANDYOU.
*Kielelezo- Wateja wanaweza kutoa kiwango chochote cha pesa kuanzia 0 hadi kiasi chote cha amana kilichowekwa kabla ya kutimiza masharti ya ofa ikiwa salio lao lililobaki ni angalau mara mbili ya kiwango cha bonasi ya akaunti (utoaji wa bonasi na fedha zozote za ushindi hauruhusiwi).
- Utoaji pesa hauwezi kufanywa ikiwa salio la akaunti ni chini ya kiwango cha bonasi na ikiwa kuna madau yoyote ambayo hayajashughulikiwa.
- Bonasi lazima itumike ndani ya siku 30 tangu ujisajili. Baada ya siku 30 bonusi na ushindi wote uliopatikana kwa bonasi hiyo utapokwa.
- Ili kupata bonasi, wateja wanatakiwa kutoa idhini yao kwa kualamisha "Shiriki katika ofa za bonasi" katika Akaunti Yangu.
Kabla ya masharti yote ya ofa kukamilishwa, wateja wanaweza kukataa bonasi ikiwa salio la akaunti lililobaki ni kubwa kuliko kiasi cha bonasi. Wateja wanaweza kutoa kiasi chote cha amana zao kilichosalia. Katika hali hii, ushindi wote na bonusi zitatwaliwa.
Unasubiri bonasi mpya?
Jisajili ili upokee taarifa za barua pepe au sms